Adverts

Jan 14, 2011

ANAITWA BRIA MURPHY

ANAITWA BRIA MURPHY: " Ni mtoto wa kwanza kwanza kati ya watoto watano wa Eddie Murphy aliozaa na mkewe wa zamani Nicole.Eddie Murphy ana watoto wengine watatu ambao amezaa na wanawake tofauti tofauti.
Bria ana mika 21 sasa,na picha hii alipigwa jana wakati akienda katika kikao cha kibiashara...mmmmh haya.
Eddie Murphy pichani.
" indaba2010