Maharamia watiwa mbaroni Mafia.: "Na Julieth Ngarabali,Mafia. RAIA sita raia wa Somalia wanaotuhumiwa kuwa maharamia katika bahari ya Hindi wamekamatwa huko wilayani Mafia Mkoani Pwani huku wakiwa na vitu mbalimbali ikiwemo magazini moja iliyokuwa na risasi za moto ishirini na moja pamoja na maganda mawili ya risasi za..."