
Kwa mujibu wa Misosi anasema kuwa Mzee Rushahu alikua na afya njema tu mpaka kufikia jana usiku ndipo hali ilibadilika ghafla na ikabidi mdogo wake ampeleke hospitali na ndipo mungu alipoichukua roho yake.
Kwa sasa bado ndugu wanakusanyika ili kupanga mipango ya mazishi na baadaye kutoa ratiba nzima ya mazishi....MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MZEE GABRIEL RUSHAHU MAHALI PEMA PEPONI....AMEEN!