Adverts

Jan 19, 2011

CBH 2011 YEYE AMEKUJA NA STYLE TOFAUTI.

CBH 2011 YEYE AMEKUJA NA STYLE TOFAUTI.: "
After Bestfriend Audio and Video kufanya vizuri kwenye radio Station na Tv'z, watu walihisi kijana amebahatisha now it's 3 brand new song's on the radio. Kijana anaefanya Style tofauti na zile tulizozizoea hapa nyumbani Charles Benedicto Halawa anaetambulika kwa jina la kisanii CBH akiwa katika kampuni ya Show Biz Defind ametoa ngoma 3 kwa mpigo nakuacha watu hoi kutojua ipi kali kuliko 1-Am Inlove, 2-Broda, 3-Oweooh, na wimbo wa Broda umesimamiwa na Producer Manecky huku wimbo wa Oweooh umetengenezwa na Mr. Chocolate Bob Junior. CBH mbali na hapo amewashukuru watu wote wanaotembelea Bongo Star Link.
Vile vile ameomba zaidi kupigiwa kura kila ngoma zinapoingia kwenye mizunguko ya TOp 20 TZ or 10 ZNZ. Amesema mwezi wa pili video yake ya pili atakua ameisha toa
"