Adverts

Jan 19, 2011

JUNYMAN VIDEO SHOOTING LONDON ILIKUWA HIVI

JUNYMAN VIDEO SHOOTING LONDON ILIKUWA HIVI: "
Juzi 15/01/2011 mishale ya saa 6 na nusu za mchana Mitaa ya Barking London Msanii wa kizazi kipya mwenye maskani yake hapa UK london aligonga video yake ya kwanza ya Nyimbo yake iitwayo JUNY!!!!.Video hii ambayo niya utambulisho wa msanii huyu mahiri ni moja katika harakati ya kuandaa Ujio wa album yake ambayo itatoka hivi karibuni.JUNYMAN ni mmoja wa wasanii wanaounda kundi kubwa la MONSTERZ linalo julikana kwa jina la '''M2S'' Hungaz nilidokezwa na msanii huyu kuwa video hiyo inaweza kukamilika ndani ya wiki moja.chini ya kampuni ya MUSSA PRODUCTIONS ya Ealing Broadway West London. Thax in advance. HUNGAZ
Junyman aliyevaa nguo yenye rangi ya chungwa
"