Adverts

Jan 19, 2011

HIKI NI KIPAJI CHA CHALIIYANGU KUTOKA INDIA.

HIKI NI KIPAJI CHA CHALIIYANGU KUTOKA INDIA.: "
mi naitwa Celestine Kimaro..kwa sasa nipo India kimasomo kidogo..nachukua Multimadia n' Vfx,Well nimejaribu kutuma picha kadhaa apo kwa kazi ninayo ifanya,kama mwanzo kwa kile ninacho somea..ningependa angalau nawe uangalie inayofaa kuweka kwenye Blog yako kwani nitafurahi sana coz naamini wewe utafanya na sisi tuweze timiza ndoto na malengo yetu..
Facebook ID yangu ni Celestine Kimaro,jina la kisanii CHALII au Chaliiyangu..thats all brother..realy ntafurahi sana kuona support yako kwangu..Asante kazi njema..
"