Adverts

Jan 15, 2011

Dowans sasa kuwamwaga Sitta na Mwakyembe.

Dowans sasa kuwamwaga Sitta na Mwakyembe.: "SAKATA la malipo ya kampuni ya kufua umeme ya Dowans, limeingia hatua mpya baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, Mathias Chikawe, kusema mawaziri wawili waliompinga Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kutangaza serikali kuilipa kampuni hiyo, walikiuka utaratibu wa serikali...."