kampuni nyingine ya kutengeneza filamu yazinduliwa jijini dar: "
Mwendesha shughuli ya uzinduzi wa kampuni ya kutengeneza Filamu inayojulikana kwa jina la Bonta Arts Production jijini, ‘MC’, Mbonike Mwangunga, akiongoza shughuli hiyo ya uzinduzi.
Producer wa filam katika kampuni hiyo, David Eric akitoa maelezo ya moja ya filamu walizozitengeneza wakati filamu hiyo ikiendelea kuonyeshwa katika ukumbi wa Green Acress,Victoria jijini Dar jana jioni.
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga akiwasalimia wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya kutengeneza Filam inayojulikana kwa jina la Bonta Arts Production jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya kazi zingine zinazofanywa na kampuni hiyo zikionyeshwa kwa wageni.
Baadhi ya wadau na wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi huo.
"
new post