Adverts

Jan 21, 2011

Leo Nimeshiriki Mkutano Ubalozi Wa Sweden

Leo Nimeshiriki Mkutano Ubalozi Wa Sweden: " Ni mkutano wa mashauriano ( Consultation Meeting)juu ya mipango ya Sweden katika misaada kwa sekta za maendeleo hapa nchini. Ni mara yangu ya kwanza kushiriki. Kwa upande wangu, nimeshauri umuhimu wa Sweden kuendelea kutusaidia kwenye Elimu ya Watu Wazima. Mengi yalizungumzwa. Tulikuwa na akina Prof. Sam Wangwe ( REPOA), Buberwa Kaiza( FORDIA), Usu Malya ( TGNP), Kaka Kajubi Mukajanga, Da Pili Mtambalike ( Baraza la Habari Tanzania) Bi. Minou wa FEMINA na wengine. source: majid mjengwa
"