Adverts

Jan 21, 2011

SHAMBA LA KAHAWA EKARI MBILI LINAUZWA

TANGAZO
SHAMBA LENYE UKUBWA WA EKARI MBILI LENYE KAHAWA LINAUZWA ENEO LA ISANGU UMBALI WA KILOMITA MBILI KUTOKA VWAWA (MAKAO MAKUU YA WILAYA) LIMO KANDO YA BARABARA YA KWENDA MBOZI MISSION. BEI NI TSHS MILION 8 NANE, WASILIANA NA ACHOR KWA +255764947555 ATAKUUNGANISHA NA MUUZAJI, NIMELITEMBELEA LINAFAA KWA KILIMO CHA KAHAWA LAKINI PIA KUNA MATUNDA NDANI YAKE PAMOJA NA NDIZI.