Kuna mambo na majambo.
Muziki na densi ni moja ya alama kuu za utamaduni. Kwa wale tunaopuuza tamaduni zetu ni vyema kukumbushwa zilivyo muhimu, namna Uafrika unavyoendelea kuvutia wenzetu. Anzia katika ngoma, njoo sasa katika lugha, vyakula, mavazi, nk. Vinathaminiwa maana nzuri…
Na ajabu akija leo mtasha akatoa CD au DVD la Ngoma ya Sindimba, kila mtu ataliona poa, lakini wakitoa wanaSindimba wenyewe Bongo ah wenyeji tutalinona mhogo mchungu…
" new post