Adverts

Feb 24, 2011

CHADEMA Yatikisa Jiji La Mwanza

Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza leo asubuhi walijumuika na viongozi wa kitaifa wa CHADEMA jijini humo katika maandamano makubwa ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha na upatikanaji wa nishati ya umeme.(Picha kwa hisani ya Jiachieblog)
"