Waziri wa ujenzi Mh.John Pombe Magufuli aliwahi kusema majengo mengi ya serikali yapo katika hifadhi ya barabara(road reserve)kumaanisha kuwa majengo hayo yamejengwa kinyume cha sheria.Akatoa mfano wa jengo la wizara ya maji lililopo Ubungo na jengo hili unaloliona kwenye hizi picha jengo la Tanesko nalo lipo pale ubungo.
