Adverts

Feb 24, 2011

Rais Jakaya Kikwete awasili Nchini kutoka Ivory Cost

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika ,mazungumzo na Makamu wa Rais Dr.Mohamed Gharib Bilal(watatu kushoto),Waziri mkuu Mizengo Pinda(wanne kushoto) pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo jioni akitokea nchini Ivory Coast ambapo alishiriki katika juhudi za kutatua mgogoro wa kisiasa nchini humo.(Picha na Freddy Maro)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda alipowasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo akitokea Nchini Ivory Cost alikohudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi sita za Afrika wenye Jukumu la kutafuta suluhishi la kisiasa Nchini Ivory Cost.
Amour Nassor VPO
"