Adverts

Feb 9, 2011

KAMBI YA UPINZANI CHADEMA ILIPOTOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE DODOMA JANA.

KAMBI YA UPINZANI CHADEMA ILIPOTOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE DODOMA JANA.: "
Matukio ya Kikao cha Bunge jana mjini DODOMA, ambapo jioni ya Februari 8,2011 Kambi ya Upinzani ya chama cha CHADEMA ikiongozwa na Kiongozi wake Freeman Mbowe ambaye anaonekana katika picha hapo juu akichangia hoja bungeni walitoka ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati kikao kikiendelea chini ya Uongozi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda kwa madai ya kupinga kupitishwa kwa mabadiliko ya kanuni za Bunge juu ya tafsiri rasmi ya kambi ya upinzani Bungeni. Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Kiongozi wa upinzani Freeman Mbowe(kushoto) na wenzakewakitoka nje ya ukumbi wa Bunge leo
Wabunge wa CHADEMA wakitoka huku wabunge wengine wakiwaangalia jana jioni mjini Dodoma.
"