Adverts

Feb 24, 2011

kesi ya mwakalebela yaahirishwa leo baada ya jaji laurent uzia kufariki dunia

Wakili wa aliyekuwa mgombea ubunge kiti cha Iringa Mjini Ferederick Mwakalebela, Mh. Basil Mkwata (kulia) akitoka mahakamani hapo na mwanasheria wa Takukuru Iringa Mh. Ntime Mizizi. Nyuma yao ni Bw. Mwakalebela mwenyewe. Hii ni leo asubuhi baada ya kuahirishwa kwa usikilizaji wa maamuzi madogo ya kesi ya rushwa katika uchaguzi inayomkabili Mwakalebela leo. Mahakama imeshindwa kusikiliza maamuzi hayo leo baada ya Jaji Laurent Uzia ambaye alikuwa akifanya kazi katika Mahakama hiyo ambaye kufariki dunia. Picha na mdau Francis Godwin.
"