Adverts

Feb 24, 2011

KICHEKESHO CHA LEO

"kuna bwana mmoja alikutana na mtoto anatembea na mbwa
huyo bwana hakamuuliza dogo mbwa wako anang'ata ?
dogo akajibu hang'ati
Yule bwana kwa sababu anapenda sana mbwa akamshika
mbwa kichwani mbwa fasta akamng'ata vidole na kutoka na viwili
yule bwana akalia huku hakimulaumu mtoto umesema mbwa wako
ang'ati mbona kanitoa vidole
dogo akajibu huyu sio mbwa wangu mbwa wangu yuko nyumbani!!!!!!!"