Adverts

Feb 23, 2011

MABEGI YA MAANA YANAPATIKANA BLACK MARKET BEI POAAAA

 Hapa niliingia nikajipigilia na mabegi mawili ya faster faster kwaajili ya zana zangu za kumulikia, yaani bei sawa na kusukuma mkokoteni kwenye mteremko!!!
Mshikaji alinipozea bei hadi buku kumi mabegi mawili moja la stendi ya kamera na jingine la kamera ya video halafu makali ile ile!! poa mshikaji tupo pamoja