Adverts

Feb 24, 2011

THE MAKING OF SITAKI KUUMIZWA "SAJNA"

Msanii anayeiwakilisha Mwanza kwa uwimbaji wake mzuri, Sajna aka Mzee wa Iveta, juzi alikuwa akifanya video yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la SITAKI KUUMIZWA akiwa amemshirikisha msanii kutoka THT mwanadada Linah. Sajna alikuwa akifanya video hiyo na kampuni ya Visual Lab Next Level chini ya mtu mzima Adam Juma.
"