Adverts

Feb 27, 2011

MBUNGE AKABIDHI TREKTA ARUSHA

mbunge wa jimbo la Arusha mjini,Godbless Lema(aliekaa juu ya Trekta)akimkabidhi mkurugenzi wa kampuni ya Arusha Mambo,Elfuraha Mtowe trekta ambalo liko chini ya ofisi ya mbunge huyo kwa lengo la kulimia shamba lenye ukubwa wa ekari 30 lililopo kikatiti mkoani Arusha ili kusaidia chakula kitachopatikana kwa shule za kata na vituo vya watoito yatima wilayani Arusha,makabidhiano hayo yalifanyika leo nje ya ofisi ya mbunge huyo.
"