Adverts

Mar 4, 2011

NGOMA YA AJABU, KIJANA ANYANYUA PIPA LA UZITO W AKILO KUMI KWA MENO

 Alianza hivi amevaa ka tight ka kike!
 Akaamua kuvua viatu ili ngoma ichezeke
 Akina mama wakaja kumpandisha mdadi wa kucheza ngoma
 Mara akanyanyua pima kwa meno yake kama linavyoonekana!!! kila mtu aliyeshiriki sherehe za uzinduzi wa mradi wa uhakika wa chakula akabaki mdomo wazi  manake kijana alibeba pipa hili kwa dakika tano na kulichezesha likiwa hewani!!! sijui ndiyo somo la physics ama civics au ushiriki n......ama mazingaaooooombweeeeeeeee
akaendelea kubeba na kubeba na kubeba weeeee hadi watu wakaanza kumtuza mwenye jero, alfu, hadi msimbazi!!!