Adverts

Mar 2, 2011

WANAHABARI MBEYA HONGERENI KWA KUTOA MCHANGO MKUBWA KATIKA MAENDELEO

Mwandishi wa Star Tv/Sahara Communication mkoani Mbeya bwana Fred Bakalemwa akiwa anachukua sehemu ya maelezo yanayotolewa na uongozi wa CCBRT, mbele yake ni Mwandishi wa Kampuni ya the Guardian Ltd Emanuel Lengwa, Brand Nelson-Mwananchi Communication na Hosea Cheyo anayeoneka na koti la suti