Adverts

Apr 12, 2011

DIWANI ANAYEFURAHISHA KILA ANAPOCHANGIA

Mh Omary Sinkala diwani wa kata ya Msangano wilayani Mbozi ambaye ana ulemavu, yeye kila anapopata nafasi ya kuchangia kwenye baraza la madiwani lazima atoe kibomu! (kichekesho) hatua ambayo watu wameshamzoea na kujiandaa kucheka kila anapochangia. Ni miongoni mwa madiwani ambao katika kipindi kifupi wameshafahamiana na madiwani wote.