Adverts

Apr 16, 2011

MAMA SALMA KIKWETE AZURU LINDI


Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo nchini (WAMA) mama Salma Kikwete akipokewa na viongozi wa mkoa wa Lindi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege leo. Mama Salma Kikwete yuko mkoani humo kushiriki na kuhimiza shughuli za maendeleo ya wananchi.
Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.


Mke wa Rais mama Salma Kikwete akizindua jiwe la Msingi la wodi ya wazazi katika kituo cha Afya Mangaka, wilayani Nanyumbu leo.
ZIMETUFIKIA KUPITIA MDAU ANNA NKINDA-MAELEZO