Adverts

Sep 17, 2011

FUNDI ANAPOTINGWA NA KUTAFUTA SPEA KWA SIMU

Mmiliki wa karakana kubwa ya ufundi wa magari katika mji wa Vwawa wilayani Mbozi Julius Garage bwana July Mbembela akizungumza kwa simu kutafuta spea ya moja ya magari yaliyokuwepo kwenye karakana yake.