Adverts

Nov 27, 2011

SHAMRASHAMRA ZA KUTIMIZA MIAKA 20 YA JUMUIYA YA COWPZ KUTOWA MISAADA KWA WANAWAKE WA SOBA HOUSE MOMBASA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kuwaendeleza Wanawake Zanzibar.( COWPZ ) Balozi Amina Salum Ali, akimkabidhi Vyarahani Msaidi]i Mlezi wa Nyumba ya Soba House ya Wanawake ya Mombasa, walioamua kuacha matumizi ya dawa za kulevya Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za Jumuiya hiyo kutimiza miaka 20 tangu kuyazishwa Zanzibar.
Mlezi wa Nyumba ya Soba House Zanzibar Bi Fatma Sukwa, akiwahamasisha Vijana wake wakati wa sherehe ya kukabidhiwa Vyarahini kwa ajili ya kujifun]a ushoni wanapotoka katika makaazi hayo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya COWPZ Balozi Amini Salim Ali, akitowea nasaha yake kwa Vijana
Mmoja wa Wanawake wanawaoka katika Nyumba za Soba House akitowa shukrani kwa niaba ya wezake kwa msaada waliopata wa Vyarahani kutoka kwa Wanawake wazao wa COWP
Walipo maliza walipata picha ya pamoja . chanzo king kinya