
Wadau wa mtandao huu wakiwa katika tamasha la Mtikisiko

Wanahabari wakishuhudia tamasha la Mtikisiko

Msanii Mwasity akiwajibika kupanda jukwaani

Shabiki wa DJ Muba akimkumbatia kwa furaha baada ya kushusha magoma jukwaani

hawa ni askari polisi wakimpa kichapo shabiki aliyecheza bila stepu

Umati wa wananchi waliofika katika mtikisiko Iringa ndani ya uwanja wa samora ,tamasha hili hadi sasa majira ya saa 9 usiku bado mambo ndio bado

Msanii Tudy Thoams akiwa na msanii na mtangazaji wa radio Ebony Fm Agnes Anderson

Msanii Fid Q akiwajibika jukwaani


Mwanahabari Happy Matanzi akiwa na mme wake ndani ya uwanja wa samora katika Mtikisiko
kutoka francisgodwin blog