Adverts

Nov 27, 2011

Wananchi wengi walijitokeza katika maduka mbali mbali kununua bidha akiwa ni siku ya black friday hata dogo Hudhaifa alikuwa miongoni mwao

Dogo Hudhaifa Shatry ambae leo siku ya Jumamosi Nov 26, 2011 ni siku yake ya kuzaliwa alifanya shopping yake katika maduka mbali mbali likiwemo Office Deport, Best buy, na Walmart, ambapo hata sisi wazee kujisahau kusherehekea siku hiyo adhimu ya dogo kwa mizunguko ya hapa na pale.
Kwa dogo sio big dell kwani alifurahia matembezi na hali ya hewa mwanana na burudani. Happy Birthady Dogo Hudhaifa Shatry kwa kutimiza mienzi 8 tangu kuzaliwa kwake M/Mungu ampe maisha marefu Amin! kutoka swahili villa