Adverts

Aug 1, 2012

ASKARI TRAFIKI AFARIKI KATIKA AJALI YA ROLI JIONI HII

 ASKARI POLISI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI ANAYEFAHAMIKA KWA JINA LA JOSEPH AMEFARIKI DUNIA KWENYE AJALI YA ROLI ILIYOTOKEA JIONI HII KATIKA ENEO LA SENJELE WILAYANI MBOZI BAADA YA GARI HILO KUHARIBIKA MFUMO WA BREKI LIKIWA MTELELEMKONI NA KUMLAZIMU DEREVA WA GARI HILO KURUKA

INAELEZWA KUWA ASKARI HUYO ALIKUWA AMEOMBA LIFT KWENDA MJINI MBEYA AKITOKEA KITUO CHAKE CHA KAZI ENEO LA MLOWO WILAYANI MBOZI AMBAPO AKIWA NJIANI NDIPO AKAKUMBWA NA MASAIBU HAYOPICHA ZOTE NA INDABA BLOG