Adverts

Oct 8, 2012

Tuzo za Uandishi wa Habarai za Utalii wa Ndani na Uhifadhi yaanzishwa na TANAPAMeneja Uhusiano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Bw. Pascal Shelutete akiongea na wanahabari mjini Arusha mwishoni mwa wiki ambapo aliatangaza kuanzishwa kwa Tuzo za Uandishi wa Habarai za Utalii wa Ndani na Uhifadhi ambapo kuanzia mwaka huu amesema TANAPA itakuwa ikikitambua, kutahmini na kutoa tuzo kwa waandishi watakaoandika habari zitakazohamasisha Utalii wa Ndani na Uhifadhi katika HIFADHI ZA TAIFA. Namna ya kuingia kwenye shindano hilo 
HABARI ZAIDI NENDA KWENYE BLOG YA MUHIDIN MICHUZI