Adverts

Feb 23, 2013

BARAZA LA KWANZA LA HALMASHAURI YA MOMBA LAKETI KUSAINI MKATABA WA MRADI WA UMEME

 AAROAN McLEAN AKIPEANA MKONO NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MOMBA MH BERNARD SICHILONGWA BAADA YA KUSANINISHANA MAKUBALIANO YA KUTEKELEZA MRADI WA KUZALISHA UMEME  KUPITIA MTO MOMBA
 WAKIBADILISHANA NYARAKA ZA MAKUBALIANO
 MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MOMBA BWANA JUMA KITABUGE AKISAINI MAKUBALIANO NA MWEKEZAJI KUTOKA KAMPUNI YA SKY ENERGY INTERNATION AAROAN McLEAN
 MWANASHERIA WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOZI AMBAYE PIA ANAKAIMU NAFASI HIYO KWA WILAYA YA MOMBA BWANA NCHIMBI AKIWALEKEZA NAMNA YA KUSAINI NYARAKA HIZO
 MCHAKATO WA KUMWAGA WINO UNAENDELEA
SASA NIMEKUBALI KUKUACHIA UTEKELEZE MRADI HUU MAPEMA IWEZEKANAVYO! NDIVYO ANAVYOSEMA KAIMU MKURUGENZI WA WILAYA YA MOMBA BWANA JUMA KITABUGE KWA MWEKEZAJI BWANA AAROAN