Adverts

Feb 23, 2013

MAKAO MAKUU YA WILAYA YA MOMBA HALI ILIKUWA HIVI HII LEO

HAPA WANANCHI WAKIONYESHA MATUMIZI MABAYA YA VYANDARUA VYA MSAADA KWA KUHIFADHIA MIMEA ISILIWE NA NGURUWE KATIKA KIJIJI CHA NKALA NJE KIDOGO YA CHITETE AMBAKO NDIKO MAKAO MAKUU YA WILAYA YA MOMBA

SHAMBA LA UFUTA LIKIONEKANA NAMNA LILIVYOSTAWI  KATIKA KIJIJI CHA CHITETE 


SOMA UBAONI MECHI YA YANGA NA AZAM ILIKUWA IKIONYESHWA  LIVE KIJIJINI HUKO LICHA YA TFF KUBANIA KIBALI KWA VITUO VYA TV KUONYESHA
PICHA ZOTE NA GODFREY MWAKITWANGE  WA INDABAAFRICA BLOG