Na
Anjela Kivavala DSJ
Wilaya
ya mbozi imetoakipaumbele katika sekta
ya afya ikiwa na lengo la kupunguza vifo vya mama na mtoto
Katika
sera ya afya ya Tanzania inataka kila kijiji
kuwa na zahanati katika halmashauri ya wilaya ya Mbozi sera iyo imeweza
kuleta matumaini kwa wananchi kujenga zahanati zipatazo 20 kati ya hizo 3 zimekamilika na zimeanza
kamilika.
Vifo
vya wajawazito na watoto vimepungua kutokana na kuimalishwa kwa huduma za rufaa
kuongezeka kwa wa taaramu na kuongezeka
kwa vituo vya huduma ya mama na mtoto ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa vituo
vya (RCH) kutoka 30 had 45
Hata
hivyo Halmashauri ya wilaya yaMbozi imefanikiwa kuwa navituo vya upimaji wa
hiyari wa VVU na vituo vya kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kenda kwa mtoto
pia halmashauri imefanikiwa kuwa na
vituo 40 vinavyotoa huduma za kupima
malaria kwa kutumia malaria vilivyoboreshwa na kutoa majibu ya uhakika na kwa
muda mfupi(Rapid diagnosis Test)
Halmashauri imefanikiwa kuajili wa fanyakazi
katika huduma ya afya wapatao kumi 10 ili kuweza ku kidhi maitaji katika kwa
wagonjwa katika wilaya ya mbozi.
Yalisemwa
katika hotuba kwa wananchi wa wilaya ya
mbozi katika siku ya selikari za mitaa iliyo fanyika kiwilaya kata ya igamba
iliyo andaliwa na ofisi ya mkurugezi mtendaji wilaya ya mbozi ikiwa na kauli
mbiu “Amani, Uadilifu na Uwajibikaji kwa wote ni Nyenzo muhimu katika mchakato
wa Katiba mpya na Ustawi wa Serikali za Mitaa”