Na
Anjela Kivavala DSJ
Wakazi
wa mji wa Tunduma wamelalamika kutokana
na huduma ya maji safi na salaama kuwa kero kubwa kwao.
Maji
yamekuwa kero kwa wakazi wa halmashauri ya mji wa tunduma na kero hiyo ina weza
kusababisha magonjwa ya mlipuko ikiwemo homa za matumbo na kuhara kwa wakazi
Tatizo la kukosekana kwa maji katika mji huo limekuwa likiongezeka kila siku kutokana
naongezeko la watu katika mji huo.
Wakazi
wa mji huo wamekuwa wakinunua maji ya kisima kwa bei ya kuanzia shilingi mia
mbili hadi mia tano kwa lita ishilini.
hayo yamesemwa na mkazi wa mji wa tunduma
bwana Mwafungo wakati akiiomba selikari iwasaidie kutatua tatizo hili la
maji lililo ukumba mji huo
Mji
huo ukiwa na jumla ya visima vipatavyo vinne kati ya visima hivyo ni visima
viwili tu vinavyo toa vikiwa havikidhi mahitaji ya wakazi wa mji mzima tatizo
hilo linaendelea kuongezeka kufuatia wakazi hao wakijenga katika vyanzo vya
maji.
Tatizo
hilo limekuwa likiongezeka siku baada ya siku kutokana na ungezako la watu na
makazi atika mji huo.