Adverts

Jan 26, 2014

NANI ALIJUA? ZIARAYA HUYU DR MKOA WA MBEYA ALIPOREJEA AKAWA WAZIRI KAMILI!!!!

 Dkt SEIF SELEMAN RASHID akisalimiana na Dkt Charles Mkombachepa, kaimu mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya Mbozi, na mara baada ya ziara hii na kurejea jijini Dar es salaam kama naibu waziri wa wizara ya afya, Mh Seif Seleman Rashid aliteuliwa kuwa Waziri kamili wa wizara hiyo!! je ni matokeo ya yale maneno aliyotamkiwa ya baraka akiwa mbozi????
 akisalimiana na afisa Utawala na raslimali watu wilaya ya Mbozi bwana Zabron Lulandala
 Akipeana mkono na Hamis Mtoni Majani mratibu wa Tasaf wilaya ya Mbozi
Tabasamu hili alilitoa baada ya mmoja wa wajumbe kumtamkia wazi kuwa ziara hiyo inaweza kuwa ya  baraka kwa mheshimiwa waziri atakaporejea jijini Dar es salaam hasa baada ya mengi aliyoelezwa kuonekana kuyapa uzito kwenye uimarishaji wa sekta ya afya nchini!