Adverts

Sep 27, 2010

NAMNA MIAMBA INAVYOYEYUKA

UJI UJI unaotokana na kuyeyuka kwa miamba katika eneo la songwe wilayani Mbozi, uji uji huo ukishapoa hutengeneza bidhaa inayoitwa malighafi kwaajili ya maru maru ambayo baadaye hutumika kwaajili ya kunakshi majengo. Hapa ni mwonekano wa mfereji unaotema uji wa moto ambapo baadhi ya wachungaji wa ng'ombe hutembea na viazi vibichi na kuvitumbukiza kwenye maji yanayochemka kwenye mfereji huu na kuiva katika sekunde chache. hii yote ni sehemu ya vivutio vya utalii wilayani Mbozi