Aaah mnajifanya huko hamtuoni vijijini eti? Siye tupo ila tuna matumaini kuwa Tanzania ndipo mahala salama pa kuishi, tunakula tunalala na tunaendelea kuishi na hata hizi burudani ndogo ndogo tunazipata sema tu inapokuja kwenye mzunguko wa fedha hapo ndipo pabaya, si unatucheki hali zetu kwa mwonekano!!!!
Ukienda mjini wasalimie wote, wape salaam waaambie siye huku burudani zetu ni kwenye miti zaidi kwakuwa hata mipira ya kuchezea haipatikani kama huko kwenu!!!!!!