Adverts

Oct 1, 2010

HUKU VIJIJINI TUNA MAJUKUMU MENGI

Huku vijijini zaidi ya muda mwingi wa mtoto hutumika akiwa mgongoni mwa mama (inakadiriwa wastani wa saa 9 hadi 11 za kila siku ipitayo, mama huwa na mtoto mgongoni, tofauti na mjini ambako wastani wa saa 13 hadi 15 mtoto huwa na house girl, na baadaye baby walker kwa saa 8 hadi 10 ,wakati mama hupata fulsa ya kuwa na mtoto wake tu pale anapopenda mwenyewe!!!!!