Adverts

Oct 2, 2010

KIJIJINI KUNA RAHA BWANA, KULA KULA NI UTARATIBU WA KAWAIDA


WADAU wa sekta ya Habari  Felix Mwakyembe kushoto akiwa na Bw. Paul Malimbo  wakifurahia maisha ya kijiji kwa kulamba ndizi mbivu katika kijiji cha Kiwila wilayani Rungwe. Hapa Mkungu wa ndizi huuzwa shilingi 500/= tu ebwanaeee maisha ya kijijini rahaaaaaa!