Adverts

Oct 1, 2010

MAMA TUNATAMBUA MCHANGO WAKO KATIKA MAKUZI YETU!

Natambua mchango wako katika uchumi wa kaya! ushiriki wako katika makuzi na ustawi wa familia ni mkubwa na ndiyo sababu sisi wa hapa hapa tumekuwa tukiheshimu na kuthamini sana mchango wako, hizi afya zetu ni matokeo ya matumizi ya nguvu zako katika kutuandalia chakula, huku kwetu hatuna mashine za kusaga nafaka, tunategemea zana hizi katika kuingiza siku!!!!