SHAMBA LENYE UKUBWA WA EKARI 70 LINA HATI MILIKI YA KIMILA LIPO KIJIJI CHA CHIWANDA WILAYANI MBOZI BARABARA YA KWENDA SUMBAWANGA UMBALI WA KM 60 KUTOKA MAKAO MAKUU YA WILAYA MBOZI LINAUZWA. LIMEPANDWA MITI KWENYE ENEO LA UKUBWA WA EKARI 10(KUMI) MITI INA UMRI WA MIAKA MIWILI SASA. LINAFAA PIA KWA SHUGHULI ZINGINE ZA KILIMO MFANO KILIMO CHA MAHINDI, MAHARAGE, UFUTA, MTAMA NK PIA LIMEPITIWA NA MTO UNAOFAA KWA SHUGHULI ZA UMWAGILIAJI. BEI NI 10 MILION.
WASILIANA NA ANCHOR +255764947555