| Msafara wa pikipiki ukipokea msafara |
| Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Sitta na Nyarandu wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano wa hadhara |
| Nape akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya |
| Mwenyekiti wa Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Prof Mwakyusa akizungumza. Kushoto ni Nape |
| Mwakyembe akihutubia kwenye mkutano huo |
| Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka akihutubia KUTOKA GLOBU YA MJENGWA |