Hii ndiyo hali ya soko la MWANJELWA ilivyokuwa ambapo mali za mabilion zimeeendela kuteketea huku zimamoto wakishindwa kupitisha magari kuzima moto huo |
![]() |
Hapa ndiyo kila kitu kimeteketea kabisa |
![]() |
Watu wakijaribu Kuokoa mali zilizokuwa madukani lakini ulinzi ukiimarishwa |
![]() |
Gari la ZIMAMOTO jijini Mbeya likitafuna |
![]() |
Moto ukiteketeza moja ya mabanda ya eneo hilo |
![]() |
Hali ilikuwa tete |
![]() |
Mama huyu akioneana kuchanganyikiwa wakati jengo la duka lake likiungua moto |
![]() |
Umati wa watu wakiwa wamejikusanya kufanya matukio kwenye eneo la maafa, hawa siyo wote wanataka kuokoa mali |
![]() |
Ulinzi wa Pikipiki ulianza kukumbana na mvua ya mawe kutoka kwa wananchi al maarufu kama vibaka |
![]() |
Maafa makubwa watu wamepoteza mitaji yao kwa mara ya pili tena |
![]() |
Hawa sio wamiliki wa maduka bali ni wanufaika na maafa wakivusha bidhaa zilizotoka madukani |
![]() |
wingu kubwa la moto likionekana kwa mbali eneo la sido mwanjelwa ambako maduka mengi yameteketea leo asubuhi |