Rais Dkt Jakaya Kikwete akiwafafanulia wanahabari kuhusiana na Mkutano  wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta  ya Kilimo ns kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo  mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi  serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili  umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar
(Picha na Ikulu)
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea na wadau wa maendeleo baada ya kufunga  Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika  Sekta ya Kilimo ns kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo  wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na  viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa  siku mbili umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar
Rais Dkt Jakaya Kikwete akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting)  uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo ns kuhudhuriwa na  wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi zaidi ya 15,   wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini  pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika  Ubungo Plaza jijini Dar
 Wadau waklimsikiliza Rais Dkt Jakaya Kikwete wakati akifunga Mkutano wa  Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya  Kilimo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo  mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi  serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili  umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar
Rais Dkt Jakaya kikwete akiwasili/akihutubia  katika ufunguzi wa   majadilino ya sekta za umma na binafsi katika kusawazisha uwiano wa  kodi katika Afrika Mashariki (Regional Public Private Dialogue on the  harmonisation of domestic taxes in the EAC) ukumbi wa Benki Kuu ya  Tanzania leo.Anayemsindikiza ni Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta.
Wadau mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo leo uliofanyika kwenye hoteli ya  Ubungo Plaza jijini Dar.
Mabalozi wa nchi mbalimbali wakimshangilia Rais Dkt Jakaya Kikwete  alipokuwa akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango  wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali  wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa,  mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma.  Mkutano huu wa siku mbili umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar