 Viongozi wa wataopandisha mwenge wa Uhuru mlima kilimanjaro

 Rais Jakaya Kikwete baada ya kuuopokea mwenge wa uhuru

 Rais Kikwete akipokea  mwenge wa uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio hizo mwaka huu

 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa majeshi Jenerali Davies Mwamunyange ambaye atawakabidhi wapandishaji mlima kilimanjaro

 Rais Jakaya Kikwete akiwatakia heri Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali Davies Mwamunyange na  wanajeshi wataopandisha kilele cha mlima Kilimanjaro Mwenge wa Uhuru mkesha wa siku ya uhuru. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi , wa pili  kulia ni Naibu waziri katika wizara hiyo Dkt Fenella Mukangara na wa kwanza kushoto ni mmoja wa wataopandisha Mwenge mlima Kilimanjaro.

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh Fatuma Mwassaakipokea kikombe cha ushindi kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete

 Rais Jakaya Kikwete akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh Fatuma Mwassa na maafisa wake baada ya mkoa huo kuibuka mshindi wa jumla wa mikoa iliyofanya vyema katika mbio za mwenge wa wingi wa miradi na maandalizi.

 Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru leo Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Walioketi toka kulia ni IGP Saidi Mwema, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange, Spika wa Bunge Mh Anne Makinda

 Mama Maria Nyerere na Mama Salma Kikwete na wageni wengine mashuhuri jukwaa kuu.

 Rais Jakaya Kikwete akipokea maandamano ya kilele cha mbio za mwenge

 Sehemu   ya umati wa watu
Sehemu   ya umati wa watu
 kikosi cha wataopandisha mwenge wa uhuru mlima kilimanjaro.
kikosi cha wataopandisha mwenge wa uhuru mlima kilimanjaro.Picha Zote na IKULU