![]() |
| Watumishi wa Halmashauri ya wilaya Mbozi wakifuatilia mawasilisho kwenye mafunzo yaliyoandaliwa na kitengo cha kudhibiti UKIMWI cha Halmashauri hiyo |
![]() |
| Msosi ni sehemu ya kuwezesha usikivu wakati wa mafunzo hapa watumishi wa halmashauri hiyo wakila chakula cha mchana |


