|  | 
| KIOTA kipya cha Mkola Hotel iliyopo katika Mji wa Vwawa wilayani Mbozi kama inavyoonekana | 
|  | 
| Karibu Mkola Hotel iliyopo eneo la Mwenge wilayani Mbozi | 
|  | 
| Christian na Rafikizake walizindua mlo kwenye kiota hicho kipya | 
|  | 
| Kijana wangu akiwa amepozi kwenye eneo la Hoteli hiyo Mpya iliyopo katika Mji wa Vwawa wilayani Mbozi | 
 



