|  | 
| Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbozi Levison Chilewa akizungumza wiki iliyopita baada ya baraza hilo kuahirishwa | 
|  | 
| Waheshimiwa madiwani wakiwa ukumbini kabla ya baraza la wiki iliyopita kuahirishwa | 
|  | 
| Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Bi Mtunguja akisikiliza maelezo ya Mkuu wa mkoa, anayemfuatia ni Mbunge wa Mbozi mashariki Mh Zambi | 
|  | 
| Mkuu wa mkoa wa Mbeya Kandoro akiwanyoshea vidole madiwani katika moja ya maeneo aliyoyasisitiza kuhusiana na kujibu hoja za mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali | 
 
