Kulingana na habari zilizokuwa hewani ITV jana wakati wakihojiwa vijana hao walieleza kuwa walikuwa safarini kutoka Mwanza kwenda mbeya na wangetumia muda wa saa moja mpaka mbeya na kuwahi msiba wa mama yao mpendwa
Kwa bahati mbaya mdogo mtu alikosea masharti kutokana na ugeni wake katika kutumia chombo hicho ambapo aligeuka nyuma kama alivyofanya mke wa Ruth kwenye biblia ambaye aligeuka nyuma na kutamani mambo ya sodoma na hatimaye kugeuka na kuwa jiwe la chumvi
Sasa dogo labda kwa kuhofia chombo kinavyovuma aliamua kugeua na kuchungulia kukokoni na ndipo hapo biashara ikawakata na kutua ghafla katika mji wa singida majira ya saa tisa usiku, ambapo walikamatwa na maafande waliokuwa patrol wakidhani vibaka, lakini katika mahojiano vijana wakaweka wazi teknolojia ya kusafiri kwa njia ya ungo
Ungo huwa na Tenki la Mafuta ambayo 'wajuvi' wanasema ni damu za watu.Kichupa hapo pembeni ndio tenki lenyewe!! |
Hawa mashine zilizhemsha wakiwa angani huko Mwanza 'nadhani Radiator ilishindwa kufanya kazi vizuri' nyungo zikachemshaau mafuta yaliisha
|
Udadisi umebaini kuwa ungo wa wachawi hutumia mafuta ambayo ni damu ya binaadamu.Huu ulishindwa kusafiri huko Mtwara.Tenki la Mafuta katika ungo huu ni kubwa...huenda huu una turbo kabisa!!! picha na mwanza yetu blog |