![]() |
| Bwana Aitwa Kyando akiwa na mkewe wakipata baraka za mwisho baada ya ibada ya Ndoa iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Bwawani mkoani Pwani hivi karibuni |
![]() |
| Bwana na Bi Harusi na wapambe wao wakiwa mbele ya Usharika kuthibitisha kuanza maisha mapya ya ndoa |
![]() |
| Ndugu jamaa na marafiki wakifuatilia ibada ya ndoa |
![]() |
| AAAAAAMEEEEENIIII NDIVYO WANAVYOITIKIA WAUMINI |
![]() |
| MASHUHUDA WAKIWA KANISANI KUFUATILIA IBADA YA NDOA |
![]() |
| IBADA IKIENDELEA |





